Rais wa Rwanda Paul Kagame akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Shy-Rose Bhanji mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa vyombo vya habari katika Afrika Mashariki mjini Kigali, Rwanda jana katika Hoteli ya Serena. (Picha na Mukhatar Bolyao- EAC)
|
No comments:
Post a Comment