Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John Atta Mills. Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamnyange. |
No comments:
Post a Comment