Tangazo

September 14, 2012

Grandmalt na ZFA wawapiga msasa Wanahabari wa Zanzibar

Meneja Masoko wa Grandmalt, Fimbo Butala (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa ZFA, Masud Attai Masud na Mwanasheria wa ZFA, wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar mara baada ya kukamilika kwa semina ya wanahabari kuhusu ligi kuu ya soka ya Grandmalt kwenye hotel ya Zanzibar Ocean View Sept. 13.2012.   

No comments: