Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment