Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Ismani akiteta na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment