Tangazo

November 9, 2012

Rappa wa kundi la Quality Brothers Arusha, Slaiyank atoka na "MIA"

Rappa kutoka kundi la Quality Brothers Arusha, Mchiz Slaiyank aja round hii na ngoma mpya aloipa jina "MIA" ikiwa ni mkono wa Q the Don na vocal zimefanywa pande za noizmekah chini ya producer defxtro.

No comments: