Tangazo

March 20, 2013

Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar: Chuoni FC yaikandamiza Falcon FC

Mlinzi wa timu ya Chuoni FC, Mwinyi Ngwali akimtoka Aly Kalulu wa Falcon (kulia), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar katika Uwanja wa Aman mjini Zanzibar jana. Chuoni iliibuka mshindi kwa bao 1-0. 

Patashika kati ya Saleh Ameir wa Falcon (kushoto) na Saleh mohamed wa Chuoni wakiwania mpira kwenye uwanja wa Aman jana. Picha zote na Martin Kabemba.

No comments: