Dk. Masau enzi za uhai wake. |
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana katika chumba cha habari cha daily Mitikasi Blog zinadai kuwa Muasisi wa taasisi ya Moyo Tanzania (Tanzania Heart Institute-THI), Dk. Ferdinand Masau amefariki dunia jana katika hospitali ya Agha Khan.
Tanzania Heart Institute (THI) ya Dkt. Masau enzi hizo. |
No comments:
Post a Comment