Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka mikoa ya Mbeya na Iringa kwenye makazi yake Mjini Dodoma Mei 16,2013. Kutoka (Kushoto) ni Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa, Mbunge wa Viti Maalum Ritta Kabati, Mbunge wa Kalenga na Waziri wa Fedha, William Mgimwa, na Mbunge wa Mbozi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment