Tangazo

May 25, 2013

Rais wa Zanzibar Dk. Shein amtembelea Sheha aliyemwagiwa Tindikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Unguja,Mohamed Saidi Kidevu,(kulia) aliyemwagiwa Tindikali na mtu asiyejulikana huko Tomondo juzi wakati alipokuwa akirudi kuchota maji na kuelekea nyumbani kwake. Sheha huyo yupo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa matibabu. Wa (pili kulia) ni Kaka yake Sheha, Sudu Mgeni Saidi. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia majeraha ya Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Unguja, Mohamed Saidi Kidevu


No comments: