Tangazo

June 5, 2013

Mamia waupokea Mwili wa Mangwear




Anaconda Lady Jaydee akiwa na Joseph Haule 'Profesa J' wakati wqakisubili mwili wa msanii wa Hip Hpo, marehemu, Albert Mangwea.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi ya msanii Albert Mangwea, Adam Juma akizungumza na waandishi wa habari wakatiu mwili wa msanii huyo ulipowasili leo ukitokea Afrika ya Kusini alipofarikia akiwa usingizini.










Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog

No comments: