Tangazo

August 12, 2013

MBUNGE WA TEMEKE, MTEMVU AFUTURISHA DAR

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula  futari iliyoandaliwa na Mtemvu kwa waumini mbalimbali jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
 Wageni waalikwa wakipata futari kwenye mgahawa wa City Garden, Gerezani, Dar es Salaam

                                                       Akina mama wakipata futari

                                                              Acha tupate futari ya mwisho mwisho

 Sheikh wa Msikiti wa Azimio, Tandika Dar es Salaam, akitoa mawaidha wakati wa futari hiyo
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akitoa salmau za serikali wakati wa futari hiyo.
 Mtemvu akimpongeza DC wa Temeke, Sofia Mjema. Kulia ni mkewe Mtemvu
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akizungumza na wanahabari wakati wa futari ambapo alisisitiza wanachi kudumisha amani nchini.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments: