Tangazo

August 19, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWAKILISHI MAALUM WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA DARFUR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikiza Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013. PICHA NA IKULU

No comments: