Tangazo

October 2, 2013

KONGAMANO LA REGGAE LAFANYIKA BASATA

Ras Aluta Christopher Warioba akiongea na waandishi wa habari kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika kwenye viwanja vya BASATA
Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika kwenye viwanja vya BASATA
Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika kwenye viwanja vya BASATA
 Ras Baraka akiwa kwenye stage akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa Reggea
Ras Inocent akitoa burudani kwenye kongamano  hilo
Hata wakina mama nao walikuwepo
Hapa ni kuruka wa burudani
Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa Reggea akaanza kucheza kwenye mvua
 Dabo akitoa burudani wakati mvua inanyesha yaani mzuka kulikuwa hakuna kusitisha furaha kwa wapenzi wa Reggea wwaliokuwa kwenye tamasha hilo
Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua ikatike
  Ras Ikabonnga Katondo akiwa na Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika kwenye viwanja vya BASATA

No comments: