Tangazo

November 7, 2013

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe,Bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu, Bungeni  mjini Dodoma  Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema akifafanua hoja za wabunge, bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: