Tangazo

November 7, 2013

MWIGULU AFUNGA SEMINA YA WENYEVITI WA CCM

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Kawe, Athumani H. Athumani, alipofunga semina ya Wenyeviti wa CCM kutoka kata 31 za  wilaya ya Kinondoni, mjini Dar es Salaam, leo Novemba 7, 2013 mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge na wengine kutoka watatu kushoto ni, Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa, Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida na Katibu Mwenezi Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments: