Tangazo

February 25, 2014

BUNGE LA KATIBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Februari 25, 2014. Kutoka kushoto ni Abdallh Sharia  Ameir, Riziki Said Lulida na  Jerome Dismas Bwanausi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: