Tangazo

February 25, 2014

Twiga Cement yawazawadia wasambazaji wa saruji yake

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Alfonso Rodriquez (wa pili kushoto)akikabidhi zawadi kwa msambazaji bora wa mwaka  wa  bidhaa za kampuni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nayan Enterprises, Dipak Manilal katika hafla ya kila mwaka ya chakula cha jioni kwa ajili ya wasambazaji wa saruji ya Twiga iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. wengine kutoka kushoto ni Meneja Matumizi ya Saruji, Mhandisi Danford Semwenda na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa TPCC, Ekwabi Majigo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Alfonso Rodriquez (katikati) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa pili wa wasambazaji bora wa bidhaa za kampuni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mwanza Huduma, Zully Nanji  katika hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Matumizi ya Saruji, Mhandisi Danford Semwenda na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa TPCC, Ekwabi Majigo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Alfonso Rodriquez (katikati) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa tatu wa wasambazaji bora wa bidhaa za kampuni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya VGK, Valense Msaki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) Alfonso Rodriquez (katikati) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa nne wa wasambazaji bora wa bidhaa za kampuni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Texas Hardware, Jonex Joel.

No comments: