Tangazo

February 26, 2014

Uzinduzi wa EP Albamu ya JanB ni Club Billicanas

Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, JanB katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno, itafanyika Machi 9. 2014 katika CLUB BILLICANAS.

 Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo.

Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne asubuhi mpaka chweee kwa kiingilio cha 8,000 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.

No comments: