Tangazo

April 17, 2014

BUNGE LA KATIBA

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba wakijadili masuala muhimu ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, ama kwa hakika hekima na busara vinahitajika ili kufanikisha kupatikana kwa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments: