Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL
wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa
Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24
kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa
hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini April 24, 2014. |
No comments:
Post a Comment