Tangazo

May 28, 2014

JUBILEE INSURANCE YATOA TUZO KWA MAWAKALA WAKE NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania, George Alande (kushoto) akikabidhi zawadi ya ‘Microwave’ kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Bima ya Venture, Alex Lemnge aliyeibuka mshindi wa kwanza katika halfa ya utoaji tuzo kwa mawakala wa Bima wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni hiyo, iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania, George Alande (kushoto) akikabidhi zawadi ya mashine ya kuprinti kwa Iddy Mashanga kutoka kampuni ya Bima ya Light Peace, katika halfa ya utoaji tuzo kwa mawakala wa Bima wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni hiyo, iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: