Tangazo

May 28, 2014

KUTOKA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi  Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu  mjini Dodoma,  Mei 16, 2014. Balozi huyo mteule alkwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mkizengo Pinda  akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma Mei 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William  Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Mei16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira Sirima  (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma Mei 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga (kushoto) na Mbunge wa Viti Maaliam, Lediana Mng'ong'o bungeni mjini Dodoma May 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: