Tangazo

October 13, 2014

KINANA AUNGURUMA IRINGA MJINI

 Sehemu ya watu waliofurika kwenye uwanja wa Mwembetogwa Iringa.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa uwanjani muda mfupi kabla ya kupanda uwanjani,Nape ameumia mkono wa kulia wakati akicheza mpira uwanja wa Samora mjini Iringa.
 Wazee wa Kimila wakifuatilia mkutano.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Iringa ambapo aliwaambia wananchi hao kuchagua CCM kwani ndio chama pekee kinachojali maslahi ya Watanzania.
 Abubakar Sanga akitangaza rasmi kurejea CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwembetongwa Iringa mjini , Sanga awali alikuwa Chadema na alishawahi kugombea nafasi ya ubunge kupitia chama hicho jimbo la Kalenga lakini alikatwa jina pamoja na kushinda kura za maoni.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubi wakazi wa Iringa mjini ambapo aliwaambia CCM ilipoteza jimbo hilo kwa sababu ya makosa ya CCM yenyewe na si vinginevyo na kusema makosa hayo hayatajirudia tena kwenye chaguzi zijazo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa bodaboda Iringa mjini akitoa shukrani kwa CCM kwa ushirikiano nao wanaoupata.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wananchi wa Iringa na kuwataka kuweka bidii katika kufanya kazi na kujiepusha na siasa zisizo na tija.
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Mwembetogwa Iringa ambapo mkutano wa kihistoria wa Kinana ulifanyika.


No comments: