Meneja Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigo akitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja na
Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi mbalimbali lililofanyika kwenye Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigo akitoa
mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha
Wakurugenzi, Mameneja na
Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi mbalimbali lililofanyika kwenye
Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam.

Ofisa
Mafao Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Julieth Chalamira akifafanua jambo kwa washiriki wa kongamano la HRSTA
Panorama kuhusu faida za kujiunga na NSSF.
Ofisa
Uhusiano wa NSSF, Kiamba Rajabu (kushoto), akitoa maelezo ya huduma za
NSSF kwa washiriki wa kongamano la HRSTA Panorama lililofanyika jijini
Dar es Salaam.
Ofisa
Mafao Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Julieth Chalamira akifafanua jambo kwa washiriki wa kongamano la HRSTA
Panorama kuhusu faida za kujiunga na NSSF.
Washiriki
wa kongamano hilo wakichukua vipeperushi vyenye taarifa zinazohusu
mafao yanayotolewa na NSSF. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa NSSF, Kiamba
Rajabu.
Ofisa
Uhusiano wa NSSF, Kiamba Rajabu (kushoto), akitoa maelezo ya huduma za
NSSF kwa washiriki wa kongamano la HRSTA Panorama lililofanyika jijini
Dar es Salaam.
Meneja Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Meneja wa Mafao, James Oigo akitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja na
Maafisa Rasilimali kutoka taasisi mbalimbali na kwenye Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mkutano huo.
Mmoja wa washiriki wa kongamano hilo akiuliza swali.
Meneja
Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Meneja wa Mafao,
James Oigo akitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama
lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja na
Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi mbalimbali lililofanyika kwenye
Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mercy
Shumbusho na Gordon Oito.
Na Mwandishi Wetu
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) yadhamini na
kushiriki kongamano la kila mwaka lijulikanalo kama HRSTA Panorama ambalo
limefanyika kwenye Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam.
Kongamano hilo ambalo hushirikisha Wakurugenzi, Mameneja na
Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi mbalimbali nchini lilikuwa na
sehemu mbili, moja ikiwa ni maonesho yaliyofanywa na mifuko ya Hifadhi ya
Jamii ikiwemo NSSF na pili ikiwa ni mijadala juu ya maendeleo na mabadiliko
kwenye Hifadhi ya Jamii Tanzania.
NSSF iliwakilishwa na Meneja wa Mafao, James Oigo kwenye
mijadala iliyokuwa ikifanyika kwenye kongamano hilo.
Katika maonesho yaliyokuwa yakiendelea NSSF iliweza kuto elimu
kwa washiriki waliotembelea kwenye banda lao juu ya Mafao yatolewayo na NSSF
pamoja na mipango mipya ya Hiari Scheme, Wakulima Scheme na Madini Scheme.
No comments:
Post a Comment