Spika wa Bunge, Anne Makinda
akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
akiapa Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari,
Bungeni Mjini Dodoma Januri 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Momose Cheyo,
Bungeni mjini Dodoma Januri 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy kwenye jengo la
Utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment