Tangazo

January 11, 2015

ZuRii House Of Beauty Kufunguliwa Rasmi 12 Januari 2015


image2.JPG
image3.JPG
image4.JPG
Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015. 
Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. 

Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.
Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK na MarekaniOk hand signOk hand sign Bei zao ni very affordable. Pia Kuna nywele aina zote kuanzia huma hair za kawaida na Natural Human Hair like Brazilian, Peruvian, Closures na ma lace wig ya ukweli. Bei zao ni nafuu sana karibuni mjionee wenyewe. 

Wamiliki wa masalon ya kike, kiume na kucha pia mnakaribishwa kujipatia bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. 
Wasiliana nao kwa kuwafollow kupitia acc yao personal ya  

Instagram
@officialjestinageorgeblog au @zuriihouseofbeauty
Contact details +255 752 019 597 au +255 65 918 9769 Whatsapp ni +447557304940 (Business Enquires Only Please).....

MSIKOSE SIKU YA UZINDUZI BEI ZA SALE! Karibuni!!!

No comments: