Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake leo februari 9,2015 jijini Dar es Salaam. |
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Ireland
nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam (Picha na Adam
Mzee)
|
No comments:
Post a Comment