Tangazo

February 5, 2015

SHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI - MALINDI

 Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao leo.
 Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.
Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.

No comments: