Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira Rodrigues akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Mkinga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla akisoma hotuba yake na kuwakaribisha wageni kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana. Meza kuu katika uzinduzi wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa imesimama kuimba wimbo wa taifa kabla ya hafla hiyo kuanza. Baadhi ya mabalozi na viongozi wa taasisi anuai waandamizi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Profesa Issa Shivji akiwasilisha mada yake katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya mabalozi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment