Tangazo

September 10, 2015

NCCR-MAGEUZI WAZINDUA KAMPENI JIMBO LA MWANGA KUMNADI MSUYA

Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo.
Mke wa mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga,Youngsevier  Msuya,Dorcas Youngsevier akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakifuatilia mkutano huo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akimtamburisha Mkurugenzi wa mambo ya nje wa chama hicho na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ,Ndelakindo Kessy wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwanga.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akiwatamburisha wasaidizi wake na wagombea udiwani katika jimbo la Mwanga  kupitia chama cha NCCR-Mageuzi 
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya Udiwani katika jmbo la Mwanga.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga ,Youngsevior Msuya mbele ya wananchi katika jimbo la Mwanga.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga ,Youngsevier Msuya akihutubia katika mkutano huo.
Wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi wakicheza mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Mwanga.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
(0755 659929).

No comments: