Rais Mteule wa Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein akiapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Makungu (kulia), katika Uwanja wa
Amaan Mjini Unguja jana. PICHA: JOHN BADI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akikabidhiwa Katiba ya Zanzibar na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Makungu (kulia), baada ya kuapishwa katika
Uwanja wa Amaan Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akikagua gwaride maaulum la vikosi vya SMZ, baada ya kuapishwa na Jaji
Mkuu wa Zanzibar, Omar Makungu (hayupo pichani), katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja jana.
Sehemu ya Wananchi wakiwa wenye furaha wakati wa sherehe za kuapishwa na
kukabidhiwa madaraka Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.
Ali Mohamed Shein, katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja jana.
No comments:
Post a Comment