Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
No comments:
Post a Comment