Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John
William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi Kijazi anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi
nyingine.
|
No comments:
Post a Comment