Property International Limited Yakabidhi Bayport Hati za Viwanja vya Mradi wa Vikuruti Kibaha Pwani
Mwanasheria wa Property International Limited Hazel
Chonya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanasheria wa Bayport, Mrisho Mohamed (wa
pili kulia) baadhi ya hati za viwanja vilivyosajiliwa na wizara ya ardhi nyumba
na maendeleo ya makazi kwa wateja wa Bayport kwa viwanja vya mradi wa Vikuruti
Kibaha, mradi ambao unauzwa na kampuni ya Property International Limited kwa
kushirikiana na Bayport. Kushoto) Ofisa Uendeshaji Property
International,George Obado na Meneja Masoko wa Property International Leila
Maingu
No comments:
Post a Comment