Tangazo

September 22, 2016

HOSPITALI YA KAIRUKI YATOA MSAADA WA MADAWA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki  akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Kagera,  Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu msaada wa madawa waliyotoa kama mchango wao kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko ardhi  lililotokea Mkoani humo Septemba 10.
Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki  akimkabidhi mchango wa madawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera,  Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko ardhi  lilotokea Mkoani humo Septemba 10.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,  Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu akimshukuru Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospital, Dk. Muganyizi Kairuki baada ya kupokea msaada wa madawa kwa kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko la ardhi  lililotokea Mkoani humo Septemba 10.
Naibu Mkurugenzi wa Kairuki Hospitali, Dk. Muganyizi Kairuki  hakikabidhi mchango wa madawa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera,  Meja Jenerali mstaafu Salim Mustafa Kijuu kwa ajili ya kusadia waathirika wa tetemeko ardhi  lililotokea Mkoani humo Septemba 10.

No comments: