Tangazo

October 18, 2016

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
 Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya  uliofanyika kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma 

No comments: