Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Ujumbe wa Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi uliomtembelea Makamu
wa Rais na kuzungumza nae Ikulu jijini Dar es Salaam na kujadiliana nae masuala
mbali mbali yanayohusu changamoto za mtoto wa kike na mwanamke.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi Profesa Ruth Meena
ambaye pamoja na ujumbe wake uliomtembelea Makamu wa Rais na kuzungumza nae
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Mtandao wa Wanawake, Katiba na
Uongozi uliomtembelea Makamu wa Rais na kuzungumza nae Ikulu jijini Dar
es Salaam na kujadiliana nae masuala mbali mbali yanayohusu changamoto
zinazomkabili mtoto wa kike na mwanamke.
No comments:
Post a Comment