Marehemu Nasib pamoja na Kuku aliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo. |
Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la tukio tayari kwa kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya. |
Blogu yenu ya Daily Mitikasi inapenda kuwakumbusha wale wote wenye tabia ya kuchukua sheria mikononi na kuwahukumu wenzao, waache mara moja kwani kufanya hivyo ni kosa la jinai na ni ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwani Vyombo vya Dola pekee ndivyo vimepewa Mamlaka kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
No comments:
Post a Comment