Tangazo

August 12, 2011

Mila na Utamaduni

Tanzania tunasema Wamaasai wanadumisha mila na utamaduni lakini duniani na hasa Afrika yako makabila mengi ambayo pamoja na kuwa tuko karne ya sayansi na teknolojia na kuathiriwa na hii kitu inayoitwa utandawazi, lakini makabila haya yameendelea kudumisha mila zao za toka enzi, miongoni mwao ni kabila hili la Himba linalopatikana huko Namibia. Source:www.bongopicha.blogspot.com

No comments: