Tangazo

August 19, 2011

Mussa 'Shoe Shiner' Mkongwe jijini Dar es Salaam

Mussa ambaye alianza 'ushushaina' hapa jijini kunako Miaka ya 1980 anasema kuwa kazi hiyo inamfanya awe na uhakika wa kuishi tu... Lakini pamoja na hilo Bwana Mussa amejenga nyumba ya vyumba vitatu na watoto wanaenda shule. Anapatika mbele ya ilipokuwa Empress Cinema zamani jirani na Idara ya Habari Maelezo barabara ya Samora.

No comments: