Tangazo

August 19, 2011

AJALI MBAYA YAUA WATANO MKOANI MOROGORO




Mkoa wa Morogoro unaendelea kuandamwa na mzimu wa ajali ambapo juzi usiku wa kuamkia  ajali nyingine mbaya iliyoyahusisha maroli mawili, Scania lenye namba za usajili T 830 BFZ na Canter yenye namba za usajili T 845 BSD kutokea maeneo ya Fulwe, Mikese mkoani humo baada ya maroli hayo kugongana uso kwa uso na kusababisha watu watano kufariki dunia papohapo na majeruhi mmoja ambaye amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro. Kwa hisani ya LatestnewsTz

No comments: