October 31, 2011
Kenya yakanusha kuua raia nchini Somalia
Raia 10 waripotiwa kuuawa na wengine 50 kujeruhiwa baada ya ndege za kivita za Kenya kuwashambulia wapiganaji wa al-shabaab kusini mwa Somalia.
Msemaji wa Jeshi la Kenya ameiambia BBC kuwa ndege hizo zilishambulia maeneo yaliyo viungani mwa mji wa Jilib.
Amesema waliouawa ni wapiganaji wa kundi hilo lililo na ushirikiano na mtandao wa Al-qaeda.
Lakini shirika la madaktari wasio na mipaka la Medecins Sans Frontieres (MSF) limesema kwa sasa linawatibu watu waliojeruhiwa baada ya kambi ya wakimbizi kushambuliwa na kusababisha vifo vya watu watatu.
Majeshi ya Kenya yaliingia hadi Somalia ili kukabiliana na wapiganaji wa al-shabaab.
Nchi hiyo ya Afrika Mashariki inawalaumu wapiganaji wa al shabaab kwa kuvuka mpaka sehemu za Kaskazini Mashariki na kushambulia vikosi vya Kenya na pia kwa visa kadhaa vya utekaji nyara.
"Tulipokea taarifa za kijasusi kuwa kiongozi mmoja wa al-shabaab alikuwa amepanga kuzuru kambi ya Jilib na ndipo tukafanya mashabulio kutoka angani " msemaji wa jeshi la nchi kavu la Kenya Meja Emmanuel Chirchir ameiambia BBC.
" Taarifa tulizo nazo ni kuwa wapiganaji 10 wa al-shabaab wameuawa na wengine 47 kujeruhiwa", aliongezea kusema.
Amekanusha habari kuwa kambi ya raia ilishambuliwa akisema taarifa kuwa kambi ya wakimbizi ilishambuliwa na raia wa kawaida kuuawa ni propaganda za al-shabaab.
Hata hivyo katika taarifa yake ya Jumapili ,shirika la MSF limesema kuwa wahudumu katika hospitali iliyoko Marere inawahudumia watu kadhaa waliojeruhiwa kufuatia shambulio la angani katika mji wa Jilib.
Shirika hilo limesema kuwa kambi ya wakimbizi wa ndani kwa ndani ilishambuliwa majira ya saa saba na nusu mchana, saa za Afrika mashariki na waliopokelewa ili watibiwe wengi wao ni wanawake na watoto.
Kundi hilo la al-Shabaab limekanusha kuwa linahusika na visa vya utekaji nyara nchini Kenya na linataka Kenya iondowe wanajeshi wake au wakabiliwe vikali.

TOWARDS ELIMINATING SEXUL AND GENDER BASED VIOLENCE IN THE GREAT LAKES REGION: REGIONAL EXPERTS AND MINISTERS IN CHARGE OF GENDER MEETING IN ARUSHA, TANZANIA ON 1-4th NOVEMBER 2011.
The International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) is organizing a Ministerial regional meeting on Sexual and Gender Based Violence (SGBV) in the Great Lakes Region that will take place in Arusha, Tanzania on 1-4 November, 2011. This meeting will gather experts from regional and international NGOs, UN agencies, Civil Society Organizations and researchers with expertise in the field of SGBV.
The objective of the meeting is to deliberate and validate the research findings from the 11 Member States of the ICGLR and make recommendations in the search for lasting solution to this scourge in the region.
The final report with the experts’ contributions will be considered by the Ministers of Gender from ICGLR Member States, before submission to the forthcoming Summit of the Great Lakes Region scheduled for Kampala, Uganda from 11-16th December 2011. The theme for the summit on SGBV is “United to prevent, end impunity and provide support to the Victims of SGBV”.
During the Special Session that will take place on 15th December 2011, the Heads of State would approve and commit to several measures to prevent sexual violence, end impunity and support survivors in line with the ICGLR Regional binding Protocol on the Prevention and Suppression of Sexual Violence against Women and Children and other regional and UN instruments on SGBV.
Tanzania is the host country of this conference under the coordination of the Ministry of Community Development Gender and Children.
Contacts :
Marie-Goretti Muhitira,
ICGLR
Executive Secretariat
Tel. 25779923501
Email : goretti.muhitira@icglr.org; mgmuhitira@yahoo.fr

NBC na Mabenki Sita ya Biashara yaingia makubaliano na NHC
Waziri Mkuu Pinda akutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Matukio mbali mbali ya Safari Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel katika kuelekea Fainali za Mrembo wa Dunia
![]() |
| Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel (kushoto) akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzia 2011 Salha Israel aliye vaa Nguo za Njano katika Mazoezi ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa pili kutoka kulia akiwa Edinburgh Castle hivi karibuni katika safari ya kuelekea katika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Dunia. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Pili kutoka kulia akiwa anapiga 'Cheers' na wenzake .. katika safari ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake. |
![]() |
| Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Tatu kutoka kulia akifurahia kwa Shangwe wakati wa Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha Mrembo wa Dunia. Picha kwa hisani ya Fredynjeje Blog. |
Bondia Miyayusho 'amgaragaza' Mbwana Matumla
BLOGU YA 8020 FASHION YATIMIZA MIAKA 5
![]() |
| Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akimlisha keki mgeni rami Mh Angela Kairuki wakati wa hafla ya blogu hiyo kutimiza miaka 5 ya utendaji wake wa kazi. |
![]() |
| Shamimu Mwasha mmiliki wa 8020 Fashion akikata keki katika uzinduzi huo huku mgeni rasmi Mh. Angela Kairuki akishuhudia tukio hilo, kulia ni mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka.Picha zaidi www.fullshangwe.blogspot.com |
NBC Yapiga jeki ujenzi wa jengo la maabara la DUCE
NA MWANDISHI WETU
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imekabidhi hundi ya shs milioni 10 kuchangia ujenzi wa jengo la maabara ya Shule ya Sekondari Chango’ombe inayomilikiwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
Akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa chuo hicho, Prof. Salome Misana, Meneja Mahusiano wa NBC, Robi Matiko-Simba alisema msaada huo ni sehemu ya majukumu ya benki hiyo ndani ya mfuko wake wa kuisaidia jamii (CSR)
“ Kama NBC suala la elimu ni muhimu mno hususani kusaidia chuo kama DUCE kwani ubora wa elimu atakayopata mwalimu kwa sasa, mchango wake ni mkubwa sana katika ubora wa elimu watakayopata watoto watakaofundishwa na walimu hao,” alisema Bi. Robi.
Alisema ni kwa kuzingatia hilo hadi sasa Benki yas NBC imeshatumia zaidi ya shs bilioni 1.5 katika masuala ya elimu ikisaidia katiukia maeneo mbalimbali kama vile ujenzi wa madarasa, ununuaji wa madawati, vitabu, madaftari na vifaa vingine vya kufundishia.
Akipokea msaada huo Mkuu huyo wa DUCE, Prof. Salome Misana aliishukuru Benki ya NBC kwa kuunga mkono juhudi za chuo hicho katika kuboresha miundo mbinu ya chuo hicho katika jitihada zake za kuboresha masomo ya sayansi katika chuo hicho kilichoanzishwa mwaka 2005 ikiwa ni juhudi za serikali katika kupambana na tatizo la uhaba wa walimu na wataalamu wengine katika sekta ya elimu.
Alisema katika kuadhimisha miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sambamba na miaka 50 ya Uhuru, DUCE pamoja na mambo mengine kiliazimia kuanzisha mchakato wa ujenzi wa jengo la maabara ya Shule yao ya Sekondari Chang’ombe wakiwa na kauli mbiu ya ‘Tuinue Sayansi na Teknolojia Mashuleni na Vyuoni kaka Chachu ya Maendeleo ya Kiuchumi Tanzania’.
Mkuu huyo wa DUCE alisema mchakato huo ulizinduliwa na rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal Septemba 13 huku makadirio ya ujenzi huo ukitegemewa kugharimu wastani wa shs bilioni 2.
Naye Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Bavo Nyichoma alisema mchango wa NBC ni muhimu sana katika jitihada zao za kuhakikisha ujenzi wa maabara ya shule hiyo zinafanikiwa kwani sanyansi ndio gurudumu la maendeleo.
“Nchi zote zilizoendelea ni kutokana na matunda ya wanasayansi wake na hata sisi ili tuweze kupata wanafunzi wazuri ni lazima tuwekeze kwa vitendo katika elimu ya sayansi,” alisema.
Chuo Kikuu cha DUCE kikiwa na wanafunzi 616 kati yao 382 wakichukua masomno ya sayansi hutumia Shule ya Sekondari Chang’ombe kama sehemu ya kufanya mazoezi ya ufundishaji kwa vitendo.
Subscribe to:
Posts (Atom)