Tangazo

October 31, 2011

WADAU PLASDUCE NA HAIKA WAMEREMETA

Mdau Plasduce Mbosa juzi  Jumamosi alijikuta akiagana na timu ya makapera baada ya kufunga ndoa na Bi. Haika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph na kufuatiwa na tafrija ya kukata na 'Mundu' iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.




No comments: