![]() |
| Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na waumini wa kanisa la FPCT wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha vijana wa Kanisa hilo. |
![]() |
| Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana wa kanisa la FPCT kucheza kwaya. |
![]() |
| Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi MO kama shukrani ya kutembelea kanisa hilo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Singida Mjini MO akiambatana na viongozi wa kanisa la FPCT kuelekea kwenye uzinduzi wa kituo cha vijana wa kanisa hilo. |
![]() |
| Mbunge MO akizindua kituo cha vijana cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel. |
![]() |
| MO Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo.(Picha zote na MO BLOG). |






No comments:
Post a Comment