Tangazo

December 27, 2011

MATUKIO YA KITCHEN PARTY YA GETRUDE MATAGI MNAYE JIJINI DSM

Bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye akiwapungia wageni waalikwa mkono mara alpowasili  ukumbini Nov,24,2011 jijini Dar es salaam  kwaajili ya sherehe ya kitchen party yake.

Bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye (katikati)  akiwa pamoja na wapambe wake wakiingia ukumbini No. 24- 2011 kwaajili ya sherehe ya kitchen party, sherehe ambayo ni maalumu kwaajili yake  iliyoandaliwa rasmi na familia yake kwa kushirikiana na wadau wanawake kutoka sehemu mbalimbali katika jamii.

Picha ya pamoja  ya bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye (katikati) pamoja na wapambe wake.

Dada Mkubwa wa Bi harusi mtarajiwa  Juliana Matagi Yasoda (kulia) kwa niaba ya familia  akiwakaribisha/ kuwashukuru wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo na kuchangia kwa hali na mali ili kuweza kufanikisha sherehe ya  Getrude Matagi Mnaye. 

Eva Mashala (kushoto) kwa niaba ya wafanyakazi wenzake akitoa maelezo ya zawadi ya jiko na zawadi mbalimbali walizompaita bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye kwenye sherehe hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa wakishereheka. 

Bi Harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye (katikati) akikata keki kwaajili ya sherehe yake ya kitchen party, Wengine pichani ni wasimamizi wake katika shughuli hiyo.

 
Wakinamama wakiserebuka, hakuna kulala.


No comments: