Tangazo

December 6, 2011

STANDARD CHARTERED BANK MEDIA - GET TOGETHER ILIVYOFANA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania, Jeremy Awori akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Bi. Joyce Mhavile wakati wa tafrija iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Vyombo vya Habari iliyofanyika katika Hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Masoko wa IPP Limited, Bi. Joyce Luhanga (wa pili kulia) na Mkuu wa Mahusiano wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba. Picha na John Badi wa Daily Mitikasi Blog

Waandishi wa habari wakijisevia katika tafrija hiyo.

Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Theophil Makunga (kushoto), akibadilishana mawazo na Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Mstaafu Robert Kisanga wakati wa tafrija hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Bi. Joyce Mhavile (kulia), akijadiliana jambo na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Theophil Makunga (kushoto), wakati wa tafrija hiyo. Wengine pichani ni  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Mstaafu Robert Kisanga (wa pili kushoto) na CEO wa Standard Chartered Bank, Jeremy Awori.

Mkuu wa Mahusiano wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba (kulia) akiwatambulisha baadhi ya Maofisa Waandamizi wa benki hiyo.

Waandishi wa habari wakipata kilaji huku wakifuatilia kwa makini kinacchoendelea uukumbi humo.

Presentation

Msanii nyota wa ngoma za kiafrika, Captain Wanne Star (wa pili kulia), akitumbuiza na kundi lake katika tafrija hiyo. 

Msanii wa kundi la Wanne Star akionyesha vibweka vyake.

No comments: