Tangazo

December 6, 2011

TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP: SUDAN YAINYOA BURUNDI 2-0, RWANDA YAINYONGA ZANZIBAR HEROERS

Ramadhan Agab wa timu ya Sudan akichuana na Kaze Gilbert wa timu ya Burundi katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana. Timu ya Sudan imeichapa Burundi magoli 2-0 na kuifurumusha nje ya mashindano.

Wazir Salum wa Zanzibar Heroers akijaribu kumzuia Ntamuhanga Tumaini wa timu ya Rwanda Amavubi katikamchezo wa robo fainali uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jana. Picha kwa Hisani ya Fullshangwe.blogspot.com

No comments: