Tangazo

December 14, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA BAISKELI YA WALEMAVU ILIYOTENGENEZWA NA SIDO

 Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua  baiskeli  ya miguu mitatu iliyotengezwa na na Shirika la Maendeleo ya Viwanda  Vidogovidogo (SIDO) kwa ajili ya walemavu  na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla ya kuzalisha nyingi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizer na (kushoto) ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es salaam, Hamwel Meena na (wa pili kushoto) ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Pundamilia Balozi wa  Uturuki nchini Dr. Sander  Gurbuz ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Desemba 13, 2011 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: