Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, ziitwazo Selcom Paypoints wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kwaajili ya wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT. Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Bw. Juma Mgori. |
No comments:
Post a Comment